Sunday, July 15, 2012

TANGAZO LA MSIBA HOUSTON:


Ndugu wanajumuia,

Kwa masikitiko makubwa nawapa taarifa kwamba Wanajumuiya wenzetu
wapendwa Dr Jenga Ngalawa,Charles Ngalawa na Ana Ngalawa wamefiwa
na baba yao mzazi huko nyumbani Tanzania katika mji Mbeya leo asubuhi .
Mipango ya mazishi inaendelea huko Mjini, Mbeya.
 
Msiba utakuwa nyumbani kwa Dr Jenga Ngalawa.
 
Address: 2202 Fox Path,Katy ,Texas 77494.
 
Wafiwa wanapatikana katika namba zifuatazo:
 
Charles Ngalawa-832-741-2791 (kushoto)
Dr. Jenga Ngalawa-832-276-4472 (kulia)

Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe,
Amina.

No comments:

Post a Comment