Saturday, August 4, 2012


Ndugu Wanachama,

Tunapenda kuwafahamisha kuwa Tawi la Chama Cha Mapinduzi - Texas linategemea kufanya Mkutano Mkuu wa wanachama wote siku ya Jumamosi tarehe 08/25/2012 katika ukumbi utakotangazwa siku chache zijazo.

Baadhi ya Ajenda za Mkutano zitakuwa:

•Kujadili Maendeleo ya Tawi
•Taarifa kamili juu ya mabadiliko ya jina la Tawi
•Kuandikisha wanachama wapya
•Mengineyo


Wanachama wote mnakaribishwa


Kidumu Chama cha Mapinduzi.


Imetolewa na:
Katibu wa Itikadi na Uenezi

No comments:

Post a Comment