Mchuma mpya aliopewa Ngassa baada ya kusajiliwa na Simba |
Mrisho Ngassa akiingia mazoezini |
Mashabiki wa Simba wakiwa wanampokea mchezaji wao mpya Mrisho Ngassa |
Ngassa ndani uzi mwekundu akiwa na Uhuru Suleiman |
Ngassa akipambana na Amri Kiemba |
Na jezi yake ile ile namba 16 |
Hapa Ngassa akiwa amezingirwa na mashabiki wa Simba baada ya kufika makao makuu ya klabu hiyo kutambulishwa |
Mrisho Ngassa akiwa na uzi wake mpya baada ya kutambulishwa makao makuu ya Simba |
Ujumbe kwa uongozi wa Yanga. |
No comments:
Post a Comment