| Hii ni cake aliyo kuwa amendaliwa bwana Kibodya maalumu kwa kwa birthday yake jioni hiyo |
| Bi. Salha mke wa bwana Kibodya akiachia tabasamu baada ya kumpa busu la birthday mume wake |
| Bi. Salha akimlisha kipande cha cake barafu wa moyo wake, laaziizii wake jioni hiyo |
| Bwana Kibodya na mama mwenye nyumba wake wakipata ukodak baada ya dinner |
| Bwana Kibodya akipata ukodak pamoja na watoto wake baada ya dinner hiyo |
| Ukodak wa pamoja baada ya dinner na watu kabla ya kuondoka |
No comments:
Post a Comment