Thursday, November 15, 2012

Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania New York na Vitongoji vyake, NYTC (Board na Executive Committee)Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania New York na Vitongoji vyake, NYTC (Board na Executive Committee), wanafurahi kuwaalika Watanzania wote wanaoishi New York na Vitongoji vyake, kwenye sherehe ya kuwakaribisha Balozi Manongi na Naibu Mwakilishi wake Balozi Mwinyi, viongozi wapya wa Uwakilishiwa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa New York, pia kumshukuru Dr. Seruhere aliyekuwa Naibu Mwakilishi Balozi wa muda na Mlezi wa NYTC.
Sherehe hii itafanyika Jumamosi, tarehe 1 December kuanzia saa 04:30pm hadi 9:30pm usiku kwenye ukumbi wa:

Holy Trinity Greek Orthodox Church
10 Mill Road
New Rochelle, NY 10804
Wotemnakaribishwa.
Tunaomba mchangowadola 25 kutoka kwa kilamtu,na wanafunzi dola 10 kwa ajili ya gharama ya shughuli nzima. Huu mchango upelekwe kwa wafuatao kabla ya terehe 20 November 2012, Receipts za mchango zitatolewa.
Miriam Abu (914) 316-2814
AmirKius (201) 450-5129
Catherine Kyauka (201) 562-2890
Shabani Mseba (347( 712-8539
Tunatanguliza shukrani zetuza dhati.
Uongoziwa NYTC.

Shabani Mseba
The Secretary i.e

No comments:

Post a Comment