Thursday, November 15, 2012

MLONGO KIHOMA NDANI YA NEW YORK CITY



 Mzee wa Htown,TX Cassius Pambamaji akiwa NY katika jiji la wasilolala alipotembelea wiki hii na alipata nafasi ya kupata ukodak akiwa maeneo ya Times Square. Cassius pia alipata nafasi ya kushuhudia match ya kirafiki ya kimataifa kati Brazil na Colombia. Match hiyo ilifanyika katika uwanja wa MetLife Stadium , New Jersery.  Cassius alikuwa na mwenyeji wake Nyagaly Ebra.
 Hapa akipata ukodak katika sehemu maarufu sana linalojulikana kwa jina laTimes Square, NY.

 Cassius akiwa na mwenyeji wake wakipata ukodak wa kumbukumbu ndani ya Times Square
New York City unaweza kupata mishikaki pia barabarani ukiwa maeneo mbali mbali  ndani ya jiji kama unavyomuona Cassius akisubiria mishikaki yake ikichomwa na mjeda wakitaa maeneo ya Port Authority.
Mlogo akiwa na mashabibiki wa timu ya Colombia muda mfupi kabla ya mechi dhidi ya Brazizil katika Metlife Stadium mjini New Jersey

Cassius hapo anashangaa baridi inavyompuliza, karibu NY 
Hapa anajaribu kujitoa baridi kwa kuchezesha mikono lakini wapi 
 Cassius wakiwa ndani ya uwanja pamoja na mwenyeji wake wa New York.

No comments:

Post a Comment