Wednesday, November 28, 2012

SHARO MILIONEA ALIVYOPUMZISHWA KATIKA NYUMBA YAKE YA MILELE LEO TANGA

Hussein Ramadhan Mkieti 'Sharo Milionea' enzi za uhai wake

Mwili wa Marehemu Hussein Ramadhan 'Sharo Milionea' ukiswaliwa mapema mchana huu kabla ya kupumzishwa kwenye nyumba yake ya milele
Mwili wa Sharo ukipumzishwa
Mazishi ya Sharo Milionea yakiendelea kijijini kwao Lusanga - Muheza, mkoani Tanga
Sehemu ya umati wa watu walioshiriki mazishi ya Sharo Milionea leo
Rafiki mkubwa wa marehemu Sharo Milionea, Mzee Majuto akielezea machache kuhusu marehemu.
(PICHA ZOTE NA MUSA MATEJA, GPL-TANGA)

No comments:

Post a Comment