Mzee wetu Edson Mwandemani |
Kwa niaba ya Richard Mwandemani tunasikitika kutoa taarifa za msiba wa baba yake mzee Edson Mwandemani kilichotokea leo mchana hapa Springfield, Mass. Mzee wetu Edson Mwandemani amefariki mchana wa tarehe 12/14/2012 katika hospitali ya Bay State Medical alikokuwa amelazwa. Msiba uko nyumbani kwa Richard anuani :
113 Enfield Street, Indian Orchard, Ma 01151.
Mipango ya mazishi inaendelea ili mzee wetu aweze kurudishwa nyumbani Tanzania. Tafadhali ungana nasi kuwafariji wafiwa kwa hali na mali. Tutatoa taarifa zaidi baadae.
Wasiliana na wafuatao kwa taarifa zaidi:
Richard : (413) 262-0400
Isaac Kibodya : (413) 219-1153
Kawala Mgawe : (413) 330-1609
No comments:
Post a Comment