Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa vyama vya siasa, wafanyabiashara, viongozi wa taasisi mbalimbali na serikali. |
Wasimamizi wakuu wa takwimu ya sense wakiwa mbele ya hadhara, wa kwanza kulia ni Alnima Chuwa wa Takwimu za Taifa Dar. |
...akifurahia jambo na Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahimu Lipumba (kushoto). |
…akifurahia jambo na Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Mwenyekiti wa IPP, Dk. Reginald Mengi. |
Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu akiserebuka na kikundi cha uhamasishaji cha Temeke kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja kabla rais hajatangaza idadi ya watu nchini leo |
No comments:
Post a Comment