Monday, December 31, 2012

TANGAZO LA MSIBA


Wanajumuia,

Ndugu yetu, Mwanajumuia mwenzetu 

GEORGE KASAPIRA,amefiwa na mama yake mzazi,

MARY SEMBE alfajiri ya tarehe 31, nyumbani Dar-es-Salaam.

Anuani ya George ni 10925 Briar Forest Dr # 1030, Houston Texas 77042

Simu : 832-244-6153 na ya mkewe ni 832-538-8000

Taarifa zaidi zitatolewa baadaye

Asante,

Juma Maswanya

Blog hii inatoa pole kwa Bw.George Kasapira na Familia yake na kumuomba Mungu  awape nguvu katika kipindi hiki kigumu

No comments:

Post a Comment