Sunday, December 30, 2012

TANGAZO LA MSIBA

 
 
Ndugu Wanajumuia
 
Mzee wetu, Baba yetu, Kaka yetu,
 
Mzee Tenende amefiwa na mama yake mzazi
asubuhi ya jumapili (kwa saa za Tanzania) nyumbani Kyela.
 
Mzee Tenende anatarajia kusafiri leo jumapili kuwahi
mazishi nyumbani. Taarifa zaidi zitatolewa hapo baadaye.
 
Mzee Tenende na Mama Tenende wanapatikana katika simu
zifuatazo:713-540 6355 na 832-338 7222
 
Anuani ya nyumbani:8107 Meadow Pond Dr,Missouri City 77459.
 
Wenu katika jumuia,
 
Juma Maswanya
 
Blog hii inatoa pole kwa Dr.Tenende na Familia yake na kumuomba Mungu  awape nguvu katika kipindi hiki kigumu

No comments:

Post a Comment