Mshambuliaji wa Simba SC, Abdallah Juma akijaribu kumtoka beki wa Tusker ya Kenya, Frederick Onyango katika mchezo wa kirafiki jioni hii Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Tusker ilishinda 3-0. |
Haruna Athumani akitafuta mbonu za kumtoka beki wa Tusker, Onyango
Jeremiah Bright wa Tusker akimdhibiti Mussa Mudde wa Simba
Haruna Shamte akiosha
Haruna Athumani akikabiliana na beki wa Tusker, Edwin Ombassa
Kiggi makassy akimdhibiti Jesse Were
Mudde akitafuta njia
Shikokoti ameruka hewani kupiga kichwa peke yake
Shikokoti akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Simba, Haruna Athumani
No comments:
Post a Comment