Friday, December 28, 2012

Waandishi Wakongwe wa Habari za Michezo Tanzania

Kutoka kushoto Said Salim, Mzee Willy Chiwango na Mwina Kaduguda
Mjumbe wa kamati ya utendaji wa klabu ya Simba Ibrahim Masoud katikati akizungumza na Mzee Willy Chiwango
kutoka gazeti la This Day kulia na Beny Kisaka mkurugenzi mwanadamizi gazeti la Jambo Leo


Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ahmed Kipozi wa pili kutoka kulia akizungumza na mwandishi mkongwe kutoka
Zanzibar Said Salim huku Abdallah Majura, Benny Kissaka ,Willy Stephen Chiwango  na mdau wakifuatilia
mazungumzo hayo

No comments:

Post a Comment