Friday, January 25, 2013

Ingawa Jina limepindishwa lakini bado unaweza kuelewa hii ndiyo tuzo ya Flaviana Matata


MWANAMITINDO wa kimataifa wa Tanzania, Flaviana Matata ameendelea kung’ara kimataifa baaada ya kushinda tuzo ya Nigeria’s Next Super model na kuwa mwanamitindo bora barani Afrika wa mwaka 2012 (Africa’s Most Outstanding Model 2012).


Tuzo hiyo utolewa kwa wanamitindo ambao bado wanailetea sifa Afrika kimataifa na Flaviana amekuwa katika chati ya juu. Mwaka jana Desemba, Flaviana alishinda tuzo nyingine ya uwanamintindo bora kutoka kwa diaspora ya Waafrika.

Flaviana kwa ambaye kwa sasa anaishi na kufanya kazi ya uawamitindo New York nchini 
Marekani kupitia shirika la Wilhelmina Models,


No comments:

Post a Comment