| Balozi Mwanaidi Maajar akiongea mbele ya sherehe ya kumuaga iliyo kuwa imeandaliwa na jumuiya ya akina mama Washington, DC. |
| Mheshimiwa Balozi Mwanaidi Sanare Maajar akipata ukodak na mume wake |
| Wageni kutoka North Carolina wakiwa katika sherehe hiyo |
| Ndugu Hajji Khamis kutoka mwenyekiti wa jumuiya ya watanzania wa New York nae alikuwepo kwenye sherehe hizo. |
| Dr Mariam Abu makamu katibu wa jumuiya ya watanzania wa NYC akipata ukodak pamoja na mchumba wake. |
| Mh.Balozi akipata ukodak pamoja na Afisa Ubalozi Washington, DC pamoja na familia ya afisa huyo |
![]() |
| Ebra Nyangaly |

No comments:
Post a Comment