Sunday, January 13, 2013

SHEREHE ZA MAPINDUZI YA ZANZIBAR ZAFANA NEW YORK

Mr.Mero akiongea machache kwenye sherehe hizo kwa niaba ya Mh. Balozi ambae alitakiwa kuwa mgeni rasmi lakini kutokana na sababu zisizoweza kuzuilika hakuweza kuhudhuria . Sherehe hizo zilifanyika Alomo Lounge Mt Vernon. NY.
Mr Mseba katibu wa jumuia ya watanzania New York akiongea katika sherehe hizo
Mwenyekiti wa Jumuia Watanzania New York, Hajji Khamis akitoa machache
Mr.Temba akimpongeza Mr.Mero baada ya kumaliza kuongea machache katika sherehe hiyo
Watanzania waliojitokeza katika sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika picha na bendera ya Tanzania

Watanzania wakijipatia chakulaNo comments:

Post a Comment