Mshambuliaji wa timu ya FC Libolo ya nchini Angola, Joao Martins, akiruka juu kupiga mpira wa 
 kichwa na kuifungia timu yake bao la kuongoza mnamo dakika ya 24 ya mchezo katika  
kipindi cha kwanza,wakati wa mchezo wao wa Kombe la Klabu Bingwa Barani Afrika dhidi ya  
Timu ya Simba kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.hadi mwisho wa mchezo Simba 
 ilechezea kichapo cha bao 1-0 toka kwa FC Libolo | 
No comments:
Post a Comment