Ule Mkutano wetu ulioandaliwa na uongozi wa CHADEMA hapa Houston utafanyika siku ya Jumamosi Tarehe 6 , April 2013 SAA KUMI JIONI ukumbi wa mkutano wa :
BEST WESTERN PLUS , WESTCHASE SUITES
2950 W.SAM HOUSTON PKWY S.
HOUSTON , TX 77042
PHONE : 713 782 1515
WOTE MNAKARIBISHWA.
Kwa niaba ya Uongozi wa CDM-Texas,
Nickson Mlay, Katibu Mwenezi.
No comments:
Post a Comment