Tuesday, May 28, 2013

Memorial Day Norwalk, Connecticut

Farida Malya akiwashukuru marafiki waliojitokeza kwenye BBQ iliyofanyika
 nyumbani kwake Norwalk CT. Farida na dada yake waliaanda BBQ hiyo
siku ya Memorial Day 

Hapa ni baba yake Farida nae akiongea jambo nyumbani hapo

Mama yake Farida nae alipata fursa ya kuongea na kutoa shukrani kwa watu
waliojitokeza kwenye bbq hiyo iliyo kuwa imeandaliwa na watoto wao

Marafiki wakipata nyama choma nyumbani hapo


No comments:

Post a Comment