Ndugu WANAJUMUIA,
Marehemu Jerome Mpefo |
Kutakuwa na Harambee ya kuchangia gharama za kusafirisha mwili wa marehemu nyumbani Tanzania.Harambee itafanyika Jumamosi,tarehe 15,2013 saa kumi jioni katika anuani ifuatayo:
Memorial Lutheran Church ,
5800 Westheimer Road , Houston, TX 77057.
Tunaombwa kina Baba kuleta Vinywaji na Kina Mama kuandaa Vyakula.
Pia imefunguliwa Account maalumu kwa ajili ya msiba huu.
BANK OF AMERICA,
Account number - 5860 3352 2448
Routing number - 11300023
Jina: Stella Liming.
Asanteni,
Wenu katika Jumuia,
Juma Maswanya.
No comments:
Post a Comment