Tuesday, June 25, 2013

Harusi ya Nathan na Jerryanne New York : Cheki walivyomeremeta

Maharusi
Picha juu na chini ni smile faces  Nathan Chiume na mke wake Jerryanne
 siku ya harusi yao iliyofanyika siku ya tarehe 21 huko Mt.Vernon, NY.

Hapa Nathan akirishwa kipande cha cake na mke wake siku hiyo ya harusi

Nathan nae akimlisha mke wake kipande cha cake yote ni katika mambo
ya malovidave. Ukijua kupokea jua na kutoa pia. Hongera sana kutoka kwa
Vijimambo Team , tunawatakia maisha yenye furaha na afya tele katika ndoa yenu

Mambo ya kulishana hayo

Nathan akiwa na smile mbele ya mama mwenye nyumba wake cheupe dawa.


Nathan akifungua music na mke wake ukumbini hapo

Kaka mkubwa wa Nathan
Dada wa Nathan

Chiume family

No comments:

Post a Comment