Miss Mahundi siku ya Rooftop BBQ party yake ndani ya Brooklyn NY akipata ukodak |
Hapa Miss Mahundi akivuliwa viatu part ianze maana alikuwa amevaa viatu virefu vilikuwa vinamuharibia mapozi. |
Mambo si hayo sasa full kuyarudi mangoma ni siku yake jamani acha ajimwage mtu kati. |
Watu wakijipatia kitoweo cha nyama choma na vinywaji baridi |
Kila mtu alikuwa na pozi lake siku hiyo mambo yalikuwa bam bam. |
Wachomanyama nao walikuwa full gwanda kuhakikisha nyama inakuwa sawa kwa walaji. |
Hamza akipata ukodak na marafiki zake na huku akiwa ameshika sahani ya kitoweo. |
Chadogi kutoka MA akipata ukodak akiwa na pozi sambamba na dada yake. |
Dullah kama kawaida akiwakilisha kiroho safi |
Brother Akida akiwa na mwenyeji wake kutoka Maryland wakishow love kwenye BBQ hiyo ya Mahundi family. |
No comments:
Post a Comment