Monday, July 15, 2013

Misa ya Arobaini ya Marehemu Jerome kufanyika Jumapili Tar. 21/07

Ndugu Wanajumuiya, 

Kwa niaba ya familia ya Jerome Mpefo, napenda kuwatangazia Misa ya arobaini itakayofanyika nyumbani kwa mke wa Marehemu, Bi. Clara Mpefo  siku ya Jumapili Tarehe 21 July, 2013 kuanzia saa nane kamili (2.00pm) anwani ni:

12511 TRACELYNN LANE
HOUSTON TX 77066

Nyote mnakaribishwa.

Imetolewa na Bw.Fue O. Fue

No comments:

Post a Comment