Monday, July 15, 2013

Taswira za Movie mpya Cultural Wars inayochezwa na wasanii wa Kitanzania kwa kushirikina na Wamarekani

Cultural Wars ni movie inayojumuisha Watanzania na Wamarekani. Movie hiyo
 imeandikwa na kuongozwa na Mtanzania Deogratius Joseph Mhella anayeishi New York City.
Hapa ni washiriki wakipata ukodak na Director wa movie hiyo ambayo itakuwa hewani Soon

Baadhi ya Watanzania watakaoonekana katika movie ya Cultural Wars inayoandaliwa na
Wataalam wa Hollywood
Katika movie hiyo huyo ndiyo Starring. Mwanaume wa Kitanzania kabila Msukuma anaoa
mwanamke wa Kimarekani.
Director D.J Mhulla akitoa maelekezo, kwa picha zaidi bofya read more
Mjadala wa nini  cha kufanya katika movie

No comments:

Post a Comment