Monday, August 26, 2013

TZ-Houston kwenye mazoezi makali kujiandaa kuwakabili Wichita

Timu ya TZ-Houston Community inaendelea na mazoezi makali katika viwanja vya George Bush Park kujiandaa na mechi dhidi ya Wichita itakayofanyika huko Wichita, Kansas September 14th. Ikiongozwa na mwalimu wa zamani wa AFC ya Arusha na Kombaini ya UMISETA Kanda ya Kaskazini, James " Pellegrini" Shemdoe timu hiyo imeonyesha iko tayari kabisa kuwakabili Wichita na kutoa kipigo kitakatifu huko Kansas. timu hiyo itaendelea na mazoezi wikiendi ijayo katika viwanja hivyo vya Bush. Pata picha mbalimbali za mazoezi hayo:

Coach James Shemdoe


No comments:

Post a Comment