Monday, September 30, 2013

Angalia na sikiliza kwa makini Mahojiano na Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Willbrod Slaa Part 1 & 2

Karibu katika sehemu mbili za mahojiano na Katibu Mkuu wa Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzanzia, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dr. Willbrod Slaa yaliyofanyika Septemba 22, 2013 hapa Washington DC
Katibu Mkuu wa Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzanzia, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dr. Willbrod Slaa akihojiwa na mwanaharakati wa changamoto yetu Mubelwa Bandio
Kati ya aliyozungumza ni pamoja na
1: Hali ya kisiasa nchini Tanzania hivi sasa
2: Nini walichomaanisha waliposema "nchi haitatawalika"?
3: Ni kweli kuwa CHADEMA inaamini kuwa Tanzania hakuna amani?
4: Kuna namna ambavyo tunaweza kutenganisha "siasa na maamuzi ya serikali"?
5: Anaonaje tofauti ya UTENDAJI WA BUNGE baina ya kipindi alichokuwepo yeye na hili la sasa?
6: Vurugu zinazotokea bungeni.....Kwanini?
7: Harakati za kuungana na wapinzani wengine kupinga mchakato wa katiba..."hamjifuniki wakati kumekucha?"
8: Maswali ya wasikilizaji na wasomaji wetu
9: Kwanini CHADEMA inahusishwa na vurugu katika mikutano yake?
10: Kwanini hawajatoa mkanda wa mauaji ya Arusha waliosema wanao?
11: Kwanini hawawajibishi baadhi ya wabunge ama wanachama wanaoonekana kuasi chama?
12: Maendeleo Tanzania. Yanapangwa kulenga maendeleo mjini?
yanagawa umaskini kuwa wa mjini na vivjijini?
Na mengine mengi
KARIBU UUNGANE NASI

No comments:

Post a Comment