Monday, September 30, 2013

Msiba New York na Tanzania

Rose Naluhwa Sangiwa Enzi ya uhai wake.

Kwa niamba ya familia ya Mataji tunasikitika kutangaza kifo cha Mama yao mpendwa Rose Naluhwa Sangiwa (ni mama yao Robin, Henry na Robert Mataji) kilichotokea Rochester, NY siku ya Jumamosi September 27, 2013 mida ya saa kumi jioni. Mipango kamili ya Mazishi ya marehemu bado inapangwa.
Msiba utakuwa nyumbani kwa marehemu Rochester, NY. Kwa taarifa zaidi tutawajulisha hapo baadaye.

Kwa maelezo zaidi, piga simu:
Robin Mataji 404-583-2925
Robert Mataji 585-309-3169
Kie Mlay 240-354-8093

Unaweza kutoa mchango wako kupitia:
Robin Mataji,  Chase Bank
RT#061092387
ACC#1962895365

No comments:

Post a Comment