| Mwanzo mwisho ni kujifua akuna kulala timu full gwanda na tayari kwa miki miki ya mbeleni kila idara mambo byeeeeee!!! |
| Kila mmoja anajitahidi kuonyesha kiwango nafasi ya kila mmoja inaheshimika katika timu hili kujenga timu imara |
| Damu mchanganyiko ndiyo chachu ya timu hii kupata mafanikio katika michezo inayo ikabiri mbele yao |
| Wachezaji wako wako wakutosha kila atakae toka na kuingia jembe jembe tu akuna kulala matokeo |
| Uwezo wakujenga timu bora upo na sababu na malengo ndiyo hayo kwanini timu isiwe imara kama battery za Duracel ??? |
| Habari hiyo hii ukiona picha tu jua mpango mzima uko kamili |
![]() |
| Wapinzani wajipange kila kinacho endelea uwanjani kina evidence reflection jibu unalo |
| ukiona manyoya ujuwe pamepunyuliwa beki mwili nyumba utapita kweli |
| kila kitu ni mipango ndo maana New York Tanzania Dream Team imebamba kila idara |

No comments:
Post a Comment