Monday, November 18, 2013

Mtengeneze Mpenzi wako mwenyewe utakavyo.Acha kulalamika

Katika vitu naona kuna makosa makubwa yanafanyika ni hili kawaida naona Baadhi ya wanaume hupata shida sana ya kuishi na wapenzi wao kwa mda mrefu na pengine kuona anamchoka mpenzi wake mapema mpaka anakuwa na mahusiano ya kukusudiwa na wala siya bahati mbaya!Lakini Wanaume wenzangu nawakumbusha hili huwa tunapotea kwakushindwa kuzingatia haya!
Mpenzi wako unatakiwa umthamini umuone kuwa niyule yule wawakati unamtongoza!!Siyo umeisha mkula unamtema hapana!
Pili ukiona mwanamke anaumbozuri mwone wakawaida!
Ukimuona wamwenziyo anapendeza na wewe wakwako mpendezeshe kwa value ile ile!
Hakikisha safari zako zakutoka unakuwa naye hata kama anasafari zingine mwambie mama hairisha twende huku nahitaji kampani yako!
Umwambie kitu gani unahitaji na usichokihitaji nasikuzote akikukosea jaribu kuongea naye taratibu na kama yamekuzidi jitahidi ukifika nyumbani kula,oga ukiingia kitandani mwulize "Mpenzi leo umenikosea sijapenda je wewe hili ukuliona??"
Usipende kumtegemea katika Budget zako atakuchoka!


Sasa kwa akina Dada..

Dada inatakiwa kujua Mpenzi wako ni waina gani!
Unatakiwa kujua yeye kipato chake kikoje!
Unatakiwa umjue mpenzi wako kampani yake ni yawatu wa aina gani!
Unatakiwa kumuona mpenzi wako ni Someone very special na hafanani na mpenzi wa Clara!
Napale anapokugombeza pale ulipo mkosea jaribu kujishusha na kumsikiliza kwa makini na kumuomba je na mimi naweza kuongea??Umsikie ansemaje!
Kamwe usije ukamwambia hivi wewe ukoje uoni Mpenzi wa fulani yuko msikivu!hivyo basi utakuwa umemkwaza kwani inaonyesha unakuwa unampenda yule wamwenziyo kuliko uliyenaye!
Mpenzi wako upende kujivunia naye mbele ya marafiki zako wawe wamtaani wawe wamaofisin hata vyuoni!
Usije ukamwambia kwanini uvai kama fulani!kama uridhishwi na kuvaa kwake na unajua anapesa basi tafuta mda mwende shopingi mchagulie wewe uone akivaa chaguo lako anaonekana vipi!

Katika haya niliyoyasea haya ni baadhi ya mambo unayoweza kuyafanya na kumfanya mpenzi wako akawa kama unavyotaka!Wewe ndiye mwenye kumbadili mpenzi wako!

No comments:

Post a Comment