Wednesday, November 13, 2013

Salamu za Rambirambi za kifo cha Dr.Mvungi kutoka CCM-Texas

Dr. Sengondo Mvungi
Chama cha Mapinduzi Tawi la Texas kwa masikitiko makubwa kinatuma salamu za Rambirambi kwa Familia ya Dr. Sengondo Mvungi, Uongozi wa NCCR-Mageuzi na Mwenyekiti wa Tume ya mabadiliko ya Katiba Jaji Warioba kutokana na kifo cha aliyekuwa mjumbe wa tume mabadiliko ya katiba Dr. Sengondo Mvungi. 

Dr. Mvungi alikuwa miongoni mwa wana taaluma wachache walitumikia nchi yao kwa uzalendo na uadilifu wa hali ya juu. 
Mungu ametoa mungu ametwaa jina la bwana lihidimiwe. 
Amen.

Imetolewa na: Katibu Mkuu - Chama cha Mapinduzi - Texas

No comments:

Post a Comment