Sunday, March 30, 2014

Sherehe za kusimika Uongozi mpya wa Watanzania zafana Houston

Siku ya jana Jumamosi March 29, 2014, Jumuiya ya Watanzania Houston ilifanya sherehe ya kusimika viongozi wapya wa jumuiya. Shughuli zilifanyika katika ukumbi wa Turquoise Center ulioko West Bellfort Ave. Houston. Kamera ya MlongoKihoma blogu ilikuwepo kuwaletea taswira za tukio hilo.

Watotot wa Kitanzania wakimpokea Balozi Mulamula

Uongozi wa Jumuiya ukimpokea Balozi nje ya ukumbi

Wimbo wa Taifa ukiimbwa na watoto

Watoto wakiimba nyimbo za maitaifa ya Tanzania na Marekani

Balozi akiwa na Wanajumuiya

Balozi Mulamula akifurahia jambo na mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Houston Nuru Mazora
Balozi akiwapongeza watoto

Meza viongozi wapya pamoja na Mwenyekiti wa Wa-Tanzania wa Jumuiya ya Dallas
Wajumbe wa Baraza jipya la uongozi wa Jumuiya
Wanajumuiya wakifuatilia matukio

Katibu aliyemaliza muda wake Bi.Leyla akitoa machache

Katibu mkuu mpya Bw.Alfred Nkunga (wa pili kutoka kushoto) akifuatilia matukio

Sehemu ya umati uliofurika ukumbini

Wadau

Mwenyekiti Bi,Nuru na Katibu Bw.Nkunga

Maafisa ubalozi Bw.Mgendi na Bw,Missana

Wanajumuiya

Dr. Tenende na Mama Tenende wakifuatilia matukio

Dj.Jimmy Makwega alikuwepo kunogesha shughuli hiyo

Naibu Katibu wa Jumuiya Bw.Kitogo akiwa na MC.James 

Mwenyekiti wa Kamati ya uchaguzi Bw.Steve Maonyesho akiwa na MC.James

Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Bw.Simba na Balozi Mulamula wakiwapongeza viongozi wapya

Bw.Simba akimkabidhi Katiba ya Jumuiya Mwenyekit mteule Bi,Nuru




Balozi Mulamula akitoa nasaha zake



Balozi akimsimika rasmi Bi.Nuru kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya

Balozi akimsimika rasmi Bi.Nuru kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya

Balozi akimsimika rasmi Bi.Nuru kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya





Mwakilishi wa Jumuiya ya Wa-Nigeria-Houstoni akisalimiana na Balozi



Mwenyekiti wa kamati ya Uchaguzi Bw.Maonyesho (kushoto) akipewa zawadi 





























Mzee Mulamula akiwa na Dr.Tenende




Kutoka kushoto ni Bw.Kitogo,Bw.Nkunga,Mama Nkunga na Mama Kitogo wakipata U-kodak































No comments:

Post a Comment