Balozi wa Tanzania anayewakilisha Marekani na Mexico Bi. Liberata Mulamula mchana wa leo alikuta na Wafanyabiashara wa kitanzania waishio katika jiji la Houston, Texas. Mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Hotel ya
HILTON HOUSTON WESTCHASE ulitanguliwa na chakula cha mchana cha pamoja kati ya Wafanyabiashara hao na Balozi Mulamula. Pata picha za tukio hilo hapo chini.
|
Balozi Mulamula akiongea na wafanyabiashara |
|
Wafanyabiashara wakimkaribisha Balozi |
|
Add caption |
No comments:
Post a Comment