Monday, March 10, 2014

Shina la CCM lafunguliwa Maryland, Mrisho Mzese Mwenyekiti mpya

Mwenyekiti wa shina la CCM Maryland, Mrisho Mzese (tatu toka kushoto) akimkaribisha Mwenyekiti
CCM DMV George Sebo (pili toka kushoto) kwenye ufunguzi wa shina hilo uliofanywa na mwenyekiti huyo wa
 tawi CCM DMV siku ya Jumapili March 9, 2014 Germantown, Maryland. Picha na Vijimambo Blog


Mwenyekiti wa shina CCM Maryland, Mrisho Mzese akiongea na kumkaribisha mwenyekiti wa
CCM DMV George Sebo huku Mama Kimolo akifuatilia kwa makini.

 

Juu na chini ni Mwenyekiti wa CCM DMV akikabidhi bendera ya CCM kwa mwenyekiti na
katibu wa tawi, wapili toka kulia ni mwenyekiti wa UWT CCM DMV Aunty Grace Mgaza Sebo.
 

Mwenyekiti wa CCM DMV, George Sebo akimsikiliza mwenyekiti wa shina
CCM Maryland baada ya kumkabidhi kitabu cha ilani ya chama hicho.
 
Mwenyekiti wa Shina CCM Maryland akimkabidhi kadi ya uanachama mmoja ya wajumbe
washina hilo lililofunguliwa siku ya Jumampili March 9, 2014 Germantown, Maryland.

Viongozi wa CCM DMV katika picha ya pamoja na Viongozi wa shina
CCM Maryland wakiwemo wajumbe na wanachama wao.

No comments:

Post a Comment