Monday, March 10, 2014

Skylight Band yatikisa jiji la Dar kwenye 'Nyama Choma Festival'

DSC_0472
Sam Mapenzi na Sony Masamba wakitoa burudani ya aina yake kwenye 
tamasha la Nyama Choma lililofanyika Jumamosi hii kwenye vianjwa vya 
Posta jijini Dar ambapo Skylight Band iliongoza kwa kukusanya
 mashabiki lukuki.
DSC_0471
Sam Mapenzi wa Skylight Band akishindana na mmoja wa mashabiki kucheza 
wimbo wa Davido SKELEWU.

DSC_0441
SKELEWU SKELEWU SKELELEEE.......!!

DSC_0435

DSC_0491

DSC_0446

DSC_0504
 Vijana wa Skylight Band wakishambulia jukwaa.

DSC_0478
Mashabiki wakijiachia wakati Skylight Band ilipokuwa ikitumbuiza kwenye Tamasha
 la Nyama Choma lilofanyika Jumamosi hii ndani ya viwanja vya Posta Kijitonyama
 jijini Dar.

DSC_0413
Winfrida Richard (katikati), Hashim Donode pamoja na Digna Mbepera wakiwapa raha  mashabiki wa Skylight Band kwenye tamasha la Nyama Choma ndani ya viwanja vya 
Posta Kijitonyama jijini Dar.

DSC_0415

DSC_0499
Burudani zilikuwa nyingi kwenye tamasha la Nyama Choma lakini Skylight Band
 ilifunika kwenye kuteka mamia ya mashabiki.

DSC_0462
Umati wa wakazi wa jijini Dar wakipata burudani ya aina yake kwenye tamasha 
a Nyama Choma wakati Skylight Band ikitumbuiza.

DSC_0473

DSC_0460
Mashabiki wa Skylight Band waliamua kupanda jukwaani na kuonyeshana ufundi.

DSC_0453
Dar es Salaam are you feeling the music..........yeah......!!!

DSC_0481
Daudi Tumba na mpiga Bass wa Skylight Band Chili Chala wakifanya yao jukwaani.

DSC_0433
Ukizingatia ilikuwa ni siku ya Wanawake Duniani walipataje raha na Skylight Band....!

DSC_0518
Mtaalam wa Nyama Choma akifanya yake ndani ya viwanja vya Posta.

DSC_0516
Kuku wakiwa kwenye hatua za maandalizi.

DSC_0424
Familia ya Skylight Band ikiongozwa na Mkurugenzi mkuu wa Band hiyo Dr. Sebastian Ndege.

DSC_0535
Mmilikiwa Duka la Zuri Fashion Boutique, Fashionista ambaye pia ni Blogger
 dada Jestina George akishow love na shemeji yake kwenye Nyama
Choma Festival iliyofanyika kwenye viwanja vya Posta.

DSC_0524
When Bloggers meet! Operations Manager wa MOblog Zainul Mzige akipata ukodak na Blogger Jestina George...hawa jamaa walikuwa wakiwasiliana kwa njia ya barua pepe katika kupashana habari, hatimaye walikutana uso kwa uso kwenye Nyama Choma 
Festival ndani viwanja vya Posta.

DSC_0399
Pichani juu na chini ni baadhi ya wadau walihudhuria Nyama Choma Festival
 iliyofanyika Jumamosi hii kwenye viwanja vya Posta jijini Dar.

DSC_0556
Mzee wa Skonga ya EATV Allan Lucky akishow love na warembo ndani ya Nyama Choma Festival.

DSC_0511

DSC_0522
Mrs. Lucky pamoja na wifi yake.

DSC_0560

DSC_0579
Mdau Emmanuel akishow love na mrembo wa ukweeeh ndani ya viwanja vya Posta.

DSC_0571
Model Danny David pamoja na Noel Ndale wakipata Ukodak kwenye Nyama Choma Festival.

DSC_0576
Noel Ndale akishow love na mrembo kwenye band la Jack Daniel's.

DSC_0574

No comments:

Post a Comment