Mama Kagaruki |
Tunawaomba tuzidi kuchanga ili tuweze kufikia kiasi kinachohitajika na ili tuweze kufanikisha shughuli za kuurudisha mwili wa Marehemu Tanzania. Ukipata taarifa hizi tunaomba umfahamishe mwenzako.
Tafadhali, toeni michango kupitia Account Number ifuatayo:
Wells Fargo Bank
Routing #: 031000503
Account# 6595913119
Jina la mwenye akaunti ni la Mtoto wa Marehemu: Mary Kagaruki
Marehemu kwa sasa yuko:
Funeral Home
366 West Lancaster Avenue
Wayne PA 19087
Tel: 610-989-9600 or 610—449-0300
Kwa taarifa zaidi za msiba huu wasiliana na:
Erick Kagaruki – 937-361-4189
Mary Kagaruki – 267-963-8190
Abbas Byabusha – 914-584-7502
Doris Rweyemamu – 646-379-9135
Dr. Temba (347-489-6532) na Raphael Faida (347-869-2230) nao watakuwa wakikusanya michango kutoka kwa Wanajumuiya.
Tunawaomba Watanzania wote wa Marekani watusaidie kwa kutoa michango ili tufanikishe shughuli za msiba huu.
Kwa niaba ya Familia ya Wafiwa na Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania,
Deogratius Mhella,
Katibu New York Tanzanian Community.
No comments:
Post a Comment