Tuesday, June 24, 2014

Misa ya Kumuaga Marehemu Peter W. Chapanga yafanyika leo Houston, TX

Misa ya kumuaga Marehemu Peter Wilson Chapanga ilifanyika leo asubuhi katika kanisa la Greater Missionary Baptist ambalo liko 9600 Scott Street, Houston. Misa ilihudhuriwa na watu wengi ambao walitoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa marehemu. Pata picha za tukio hilo hapa chini.

Gari lililobeba mwili wa Marehemu Peter likiwa nje ya kanisa

Waombolezaji wakiwapa pole ndugu na marafiki wa karibu wa Marehemu

Mwili wa Peter ukiwa kanisa kwa ajili ya kutolewa heshima za mwisho

Kanisani


No comments:

Post a Comment