Thursday, July 17, 2014

Waziri Nyalandu akutana na Balozi wa Heshima Mh. Ahmed Issa katika jiji la California

 Balozi wa heshima Mhe. Ahmed Issa akifanya mazungumuzo na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu Beverly Hills California mapama leo mazungumuzo yaliyohusu kutangaza Utalii wa Tanzana nchini Marekani pia Waziri Nyalandu alimpongeza Balozi wa Heshima kwa kuendelea kutangaza utalii wa Tanzania kwenye magari yake ya mizigo.
Abdul Majid akipiga picha na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu walipokutana Beverly Hills, California huku Mhe. Waziri akipata kumbukumbu kupitia simu yake ya mkononi. Picha na Abdul Majid (mwakilishi wa Vijimambo California)

No comments:

Post a Comment