Wednesday, September 17, 2014

Tangazo la Msiba , Houston TX

Marehemu Method Clemence Mengi enzi za uhai wake
Kwa masikitiko makubwa, tunatangaza kifo cha Mwanajumuiya mwenzetu,

Ndugu Method Clemence Mengi.
           
Marehemu Method Clemence Mengi, 42, amekutwa na mauti ghafla leo  asubuhi, Jumatano Septemba 17, 2014 nyumbani kwake.

Marehemu aliyekuwa anaishi 12850 Whittington Drive, Houston, TX ameacha mke, Bibi Verodiana (Mama Theo) na watoto wawili, Malik na Robert.

Wafiwa wanapatikana katika nambari zifuatazo za simu:
Bw. Simon Makangula: 713 384 0255          
Bw. Mkude Augustine:  281 702 8127

Msiba upo kwenye anwani ifuatayo (nyumbani kwa Bw. Makangula):
21911 Sunvolt Ct.,
Richmond, TX 77407

Mungu alaize roho ya marehemu mahali pema peponi.

Idara ya Mawasiliano/ Uhusiano
Tanzania Houston Community
832 987 3380 

No comments:

Post a Comment