Monday, October 6, 2014

Mh.Ombeni Sefue Apata Nakala ya kitabu cha Nyayo za Obama

 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akipokea nakala ya kiswahili na kiingeraza ya kitabu cha nyayo za Obama kutoka mwandishi wa kitabu hicho Mzee Safari Ohumay kwenye siku ya Jumamosi Oct 4, 2014 kwenye mkutano wa DICOTA 2014 uliofanyika Durham, North Carolina.


No comments:

Post a Comment