Sunday, November 2, 2014

Msaada Tutani

hii picha imekuwa ikisambaa sana kwenye mitandao ninaomba kama kuna mtu anafahamu uwezekano wa kupatikana kwa watoto hawa kwenye hii picha. Msamaria mwenye nia ya kuwasaidia ameomba jina lake lisitajwe bali anaomba yoyote anayefahamu jinsi ya kuwapata hao watoto atume email kwa
Asante sana!

No comments:

Post a Comment