|
Kiwanja kitakachopigiwa mtanange |
Mechi ya Muungano itakayochezwa Jumamosi April 25, 2015 kati ya timu ya Tanzania Bara na Tanzania Visiwani chini ya udhamini wake People's Bank of Zanzibar(PBZ) ambao ndio wa dhamini mechi hii tangia mwaka jana.
Mechi inatarajiwa kuanza saa 12 jioni na kutakua na BBQ kuanzia saa nane mchana hapo hapo Walker Mills
Timu zote zipo kwenye mazoezi makali zikijiwinda na mpambano huo.
Anuani ya uwanja ni 8001 Walker Mill Road, District Heights, MD, 20747
|
Jezi |
|
Jezi |
|
Jezi |
|
Jezi |
|
Jezi |
|
Jukwaa la watazamaji |
No comments:
Post a Comment