Sunday, April 19, 2015

Daddy's Wedding Premiere yafanyika Houston

Jioni ya leo kwenye ukumbi wa Cinema wa AMC Dunvale katika jiji la Houston kulifanyika uzinduzi wa filamu ya Kitanzania iitwayo Daddy's Wedding iliyoongozwa na Mtanzania mwenzetu Bi. Honeymoon Mohamed. Uzinduzi huo ulishuhudiwa na idadi kubwa ya watazamaji, pata picha za tukio hilo hapo chini.

Dada Honeymoon akiwa na Rahim

Wageni waalikwa
Waalikwa
Wageni waalikwa








































No comments:

Post a Comment