Tanzania Muslim Community of Houston jioni ya leo ilifanya BBQ Party ya Eid El Hajj kwenye viwanja vya Ray Miller Park katika barabara ya Eldridge , Kamera ya MlongoKihoma Blog ilikuwepo kukupa picha za matukio.
 |
Waumini wakipata Salat Maghrib |
 |
Salat Maghrib |
 |
Abou with Zaynab |
 |
Zaina & Fue |
 |
Chef Ally Sued akiwa kazini |
No comments:
Post a Comment