Sunday, October 11, 2015

Rahim na Anassa Wameremeta Houston

Mchezaji wa zamani wa timu za Ashanti United na DC United Rahim Chomba juzi katika jiji la Houston aliachana na kambi ya ukapera baada ya kufunga ndoa na mlimbwende Anassa Kambi. Harusi hiyo ya kukata na shoka ilihudhuriwa na ndugu jamaa na marafiki kutoka pande mbalimbali za dunia  ikiwemo nyumbani Tanzania. Kamera yetu ilikuwepo ukumbini kupata picha za tukio hilo.

Bwana na Bibi Chomba
Maharusi wakiingia ukumbini

Maharusi na Maids
Bibie Anassa akimlisha keki mumewe Rahim
Lovely Couple


The First Kiss
Baba wa Bibi harusi Mzee Kambi akitoa nasaha Wazazi wa bibi harusi wakiwa na maharusiBwana Harusi Rahim Chomba
Ma-MC Anna na David wakiwa na bwana harusi
No comments:

Post a Comment