PARTY YA KUSHEHEREKEA MAISHA YA ANDREW SANGA KATIKA PICHA
"Kapumzike kwa Amani Andrew Nicky Sanga" - hii ni kauli inayoweza kumsindikiza mpendwa wetu kwenye nyumba yake ya milele. Baada ya misa ya kumuaga marehemu Andrew Sanga kulifanyika Party ya kukata na shoka kusheherekea jinsi maisha ya Andrew yalivyowagusa watu wengi katika safari yake ya miaka 36 hapa duniani. Party hiyo ilifanyika kwenye Ukumbi wa Sienna ulioko mitaa ya Bissonet jijini Houston. Pata picha za tukio hilo hapa chini.
No comments:
Post a Comment