Mamia wa Watanzania na wananchi wa mataifa mbalimbali duniani jioni ya jana walikusanyika kumuaga kijana wao mpendwa
Andrew Nicky Sanga aliyefariki wiki 2 zilizopita jijini Houston, Texas. Misa ya kumuaga Andrew ilifanyika katika kanisa la Lutheran lililoko kwenye makutano ya barabara za Westheimer na Wilcrest. Mwili wa Andrew unategemewa kuondoka hapa Houston jumatatu tarehe 2/5 kuelekea nyumbani Tanzania kwa safari yake ya mwisho hapa duniani
|
Ndugu na Marafiki wa Andrew wakiwa na jeneza la marehemu kanisani |
|
Mwili wa Andrew ukiwa umepumzika kwenye jeneza wakati wa misa |
|
Marafiki wakilia kwa uchungu |
|
Familia ya Marehemu Andrew Sanga
|
***Stay tuned for Andrew's Life Celebration Photos
No comments:
Post a Comment