Monday, September 5, 2016

GAMEDAY : TANZANITE FC VS DSQUAD

Mechi ilipigwa siku ya jumamosi tarehe 03/09/2016 Hammond Park , Atlanta GA. Matokeo ya mwisho ya mchezo yalikuwa ni Tanzanite FC 4-2 Dsquad. Timu hizi zinategemewa kurudiana tena wakati wa sherehe za Thanksgiving mwezi Novemba 2016 jijini HoustonNo comments:

Post a Comment