Sunday, November 27, 2016

HOUSTON YAICHAPA ATLANTA 4-3 NA KUBEBA KOMBE LA ANDREW SANGA

Timu ya soka ya THC maarufu kama Dsquad jioni ya jana kwenye viwanja vya Memorial Park waliwafunga wageni wao Atlanta kwa mabao 4-3 na kubeba kombe la ANDREW NICKY SANGA 2016. Mechi hiyo ya kukata na shoka ilihudhuriwa na wakazi wengi wa Houston na miji ya karibu. Mgeni rasmi katika mechi hiyo alikuwa Bi. Zoe Sanga aliyeongozana na mama yake Bi. Emmy Matafu.

Miss Zoe akiwa na kombe lililopewa jina na Baba yake Andrew Sanga

Zoe akimkabidhi kombe la ushindi Captain Rahim Chomba

DSQUAD

ATLANTA
Picha ya pamoja

















































































No comments:

Post a Comment