Monday, November 28, 2016

MAMA MITINDO ASYAH IDAROUS KHAMSIN AFANYA KIFANYA MAMBO YAKE JIJINI BOSTON, MA NCHINI MAREKANI

 Nguli wa mitindo kutoka Tanzania na Marekani mama Asya Idarous Khamsin
akipata picha ya kumbukumbu kwenye maonyesho ya vivazi yaliyoshirikisha
wanamitindo mbalimbali kutoka bara la Afrika yaliyofanyika  siku ya Jumamosi
Novemba 26, 2016 Boston, Massachusetts nchini Marekani na yeye
kuwa mwakilishi pekee aliyepeperusha bendera ya Tanzania mjini hapo.

 Mwanamitindo nguli mama Asya Idarous Khamsini
akipata picha ya kumbukumbu.

Mlimbwende wa vivazi vya mwanamitindo nguli Asya Idarous Khamsin akipita
 mbele ya mashabiki wa mitindo.

Mlimbwende wa vivazi vya mwanamitindo nguli Asya Idarous Khamsin
akipita mbele ya mashabiki wa mitindo


Mlimbwende wa vivazi vya mwanamitindo nguli Asya Idarous Khamsin akipita mbele ya mashabiki wa mitindo

No comments:

Post a Comment