Monday, December 5, 2016

MWAKILISHI WA VIJIMAMBO ATLANTA, GEARGIA RACHEL UDOBA ALA NONDO YA SCIENCE IN HUMAN SERVICE KUTOKA KAPLAN UNIVERSITY

Mwakilishi wa Vijimambo Atlanta, GA akikabidhiwa Nondo yake na mkuu wa chuo

Rachel Udoba akielekea jukwaani

Mwakilishi wa Vijimambo Atlanta, GA Rachel Udoba akipanda jukwaani kujiunga na wahitimu wenzake tayari kwa kupokena kwa Nondo yake.

 Mahafali wakimsikiliza mkuu wa chuo (hayupo pichani)
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

Rachel Udoba akiwa na nondo yake.
 Rachel Udoba akipata picha kabla ya kuelekea jukwaani.
Rachel Udoba katika picha ya pamoja na binti yake  Theo Goda
 Rachel Udoba akipata picha kabla ya mahafali hiyo.
 Rachel Udoba akiwa kwenye picha ya pamoja na Bi. Glory kwenye mahafali hiyo.
 Wageni waliohudhuria mahali hiyo wakishuhudia wapendwa wao wakikamata nondoz
 baadhi ya wahudhuriaji
 wanachuo wakiwa jukwaani mara tu baada ya kupokeashada zao.
Rachel Udoba akielekea nje baada ya ya kukamata nondo yake.
Rachel Udoba na binti yake Theo katika picha ya pamoja

No comments:

Post a Comment